×

Habari

Tamko la Polisi Dar Kuhusu ‘Level Seat’, Bodaboda Mjini – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, limewapongeza wamiliki na watumiaji wa vyombo vya usafiri jijini Dar es...

READ MORE

Askofu Gwajima Aomba Radhi RDC Kuhusu Kauli ya Corona

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na uzima Josephat Gwajima amesema kuwa ameomba radhi kwa wananchi wa DRC Congo mara baada...

READ MORE

Waziri Jafo Awasilisha Bajeti ya TAMISEMI 2020/21 – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameliomba bunge la Jamuhuri...

READ MORE

Video: Mkurugenzi Takukuru Anazungumza Baada Ya Magufuli Kumteua

MKURUGENZI wa Takukuru, Jenerali Mbung’o, leo Aprili 09, ameitisha mkutano na wanahabari ikiwa ni siku chache baada ya kuteuliwa rasmi...

READ MORE

Corona: Waziri Ummy Awapa Maagizo Viongozi wa Dini – Video

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo Aprili 09 ametoa rai kwa viongozi wa...

READ MORE

Corona: WHO Yakanusha Madai ya Trump Kuhusu China

MAOFISA wa Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO wamekanusha leo kuwa shirika hilo linaipendelea China na kusema kuwa hatua hii...

READ MORE

Kinyerezi Walichangamkia Betika, Waeleza Linavyowapa Mkwanja

MAPEMA leo Jumatano, Aprili 8,2020,  timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kinyerezi, Tabata migombani na maeneo...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Wafikia 25 Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini...

READ MORE

Championi Baba Lao, Lazidi Kutikisa na Ndinga Mpya!

  Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine  wameendelea ...

READ MORE

Mmiliki wa JamiiForums Ahukumiwa Jela au Faini Mil 3 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forum, Maxece Mello kulipa faini ya Sh.Mil 3 ama kwenda...

READ MORE

Trump Awatishia India: ‘Tunataka Chloroquine’

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametishia kulipiza kisasi dhidi ya India endapo nchi hiyo itapiga marufuku mauzo ya dawa ya...

READ MORE

Ronaldinho Apata Dhamana, Atoka Gerezani

NGULI wa zamani wa soka wa Klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho,  na kaka yake...

READ MORE

Wabunge 17 Wahofiwa Kuwa na Corona Virus

TAHARUKI imezuka Bungeni baada ya taarifa mbalimbali kuripoti kuwa takriban wabunge na watumishi wa Bunge 17 wana maambukizi ya Virusi...

READ MORE

CAG: EWURA Imepoteza Lita Bil 1.4 za Petroli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu...

READ MORE

Mvua Za Mwaka 2019 Zimevunja Rekodi-TMA

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mwaka 2019 umeweka historia ya pekee kwa kuwa wa nne kihistoria kwa...

READ MORE

Trump: WHO Wanaipendelea China, Nitaacha Kuwapa Pesa!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha...

READ MORE

Kigwangalla: Kutumbuliwa Siyo Shida Kwangu, Nishachoka!

KUFUATIA Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG) ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30,...

READ MORE

Ujasiri ni Muhimu Katika Kumkomboa Mwanamke

Wanawake nchini wameshauriwa kuwa na ujasiri katika kutafuta na kulinda haki yao katika familia kama nyenzo muhimu ya kuwaepusha na...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza! Hakuna kifo cha Corona China

SERIKALI ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

CAG: Maliasili Wametumia Bil 2 Kinyume cha Utaratibu

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) imebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na...

READ MORE

WHO: Afrika Haitakuwa Uwanja wa Majaribio Chanjo ya Corona

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amekosoa vikali matamshi ya kibaguzi ya madaktari wawili wa Ufaransa waliopendekeza kufanyia...

READ MORE

Corona: Trump Aumizwa Waziri Mkuu wa Uingereza Kupelekwa ICU

RAIS wa Marekani Donald Trump ameungana na viongozi wengine duniani, kutoa pole kwa swahiba wake, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yaibua Madudu “Marehemu Wamelipwa Mishahara”

Ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali [CAG] jana April 6, 2020 imewasilisha ripoti yake ya ukaguzi...

READ MORE

Waziri Atangaza Wagonjwa 2 Kupona Corona – Video

 WAZIRI wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, leo Aprili 07, 2020, amesema watu wawili...

READ MORE

Mkandarasi Yamkuta! Azuiwa Kutoka Nje ya Mkoa

MKANDARASI wa mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa...

READ MORE

Mbowe Atoka Karantini, Atinga Bungeni na “Corona” – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amesema #CoronaVirus ni janga ambalo linapaswa kupewa uzito kama ambavyo...

READ MORE

Corona Virus: Ubalozi wa Tanzania Wafungwa Marekani

Barua toka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, kwenda kwa viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Marekani.    

READ MORE

Corona: Serikali Yaongeza Mishahara, Hakuna Kulipia Maji

RAIS wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo, ametangaza kuwalipia wananchi ankara za maji kwa miezi mitatu (Aprili, Mei na Juni),...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu Uingereza Yuko Chumba cha Mahututi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya...

READ MORE

TANZIA: Mama wa Kocha Guardiola Afariki kwa Corona

    MAMA wa meneja (kocha) klabu ya Manchester City ya Uingereza,  Pep Guardiola, aitwaye Dolors Sala Carrió,  amefariki dunia...

READ MORE

Majaliwa Aonya Wakuu wa Mikoa Wanaotoa Matamko ya Corona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na...

READ MORE

RC Makonda: Ukikamatwa kwa Uzururaji Utazibua Mitaro

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema zoezi la kuwakamata wazururaji katika mkoa huo limeanza rasmi...

READ MORE

Mbunge Agoma Kukaa Karantini, Aambukiza Wawili

Mbunge wa Konde (CUF), Khatibu Said Haji, amemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aingilie kati ikiwezekana kumchukulia hatua stahiki, Waziri wa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 24

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona...

READ MORE

Infinix S5PRO NA KAMERA YA MAAJABU.

Ilianza S5 na S5 lite, sasa Infinix Mobile inakuletea S5 pro,ikiwa na sifa lukuki zinazoipa umaridadi zaidi. S5 pro imekujana...

READ MORE

Meya Jacob Atangaza Kutogombea Tena

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kuhusu #Coronavirus

MTU mmoja aliyetambulika kwa majina ya African John Mlay (58) Mkazi wa Kiboroloni, Moshi anashikiliwa na  polisi mkoa wa Kilimanjaro...

READ MORE

Bibi wa Miaka 100 Asotea Mafao Miaka 37

DAR: MIAKA 37 unasotea mafao serikali si jambo dogo, lakini bibi kizee, Edina Kambona ‘100’ mkazi wa Mbagala Kwamagai, Dar...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Alazwa

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amelazwa hospitalini ili kufanyiwa vipimo vya virusi vya corona, siku kumi baada ya kukutwa...

READ MORE