
Browsing Category
Jamvi
Ngwair: Bado Nalia tu na Tanzania
ALBERT Keneth Mangwair a.k.a Mimi, a.k.a Ngwair, alizaliwa Novemba 16 1982. Mei 28, 2013 msanii huyo akajitenga na dunia hii na kuuacha muziki wa Hip Hop, Bongo ukiwa njia panda.
Wapo wanaosema kwa Bongo hakuna msanii…
Wangapi Wanataka Katiba Mpya?
DESEMBA 31, 2010 aliyekuwa Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alitangaza nia ya Serikali ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Pita huku nipite kule, mchakato wa kupata Katiba…
Mtazamo Kifungo cha Sabaya Jela
ALIPOAMBIWA ajitete; aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliiomba mahakama impunguzie adhabu kwa sababu yuko kwenye mipango ya kuoa na kwamba tayari ameshamtolea mahari mchumba wake.
Hata hivyo, mahakama…
Mende Avuruga Hotuba ya Rais
WAKATI Kampeni za uchaguzi nchini Ufilipino zikikaribia kufika tamati na mgeni ambaye alikuwa hajaalikwa aliamua kumtembelea rais wa nchi hiyo pasi na kualikwa.
Rais Rodrigo Duterte alikuwa katika harakati za…
Tuwatimue Wamachinga?
TANZANIA bado ina uchumi legelege, asilimia kubwa ya wananchi wake ni masikini.
Ajira limekuwa jambo la bahati; kwa mwaka vijana wanaopata ajira ni 40,000 kati ya Milioni Moja wanaohitimu masomo kutosha shule na vyuo mbalimbali.
…
Biashara ya Ukahaba Itakomaje Dar?
MKUU wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Amos Makalla ameagiza biashara ya ukahaba ikome; Mkuu wa Mkoa anasema ni kuwakamata wote wanaojihusisha na biashara hiyo haramu huku walengwa wakuu wakiwa ni wanawake.
Hata hivyo; mjadala wa…
Rayvanny na Harmonize Yupi Anapesa Chafu?
Naona watu wanajiuliza hivi kati ya hawa wawili rayvan na harmonize nani yupo juu kimafanikio au kwa maana ya utajiri?
Kwasababu mwijaku huwa anasema waimbaji Tanzania wenye pesa ni diamond, alikiba, harmonize na jux. Hivi…
Kunta Kinte na Simulizi ya Utumwa Wake Amerika
KUNTA KINTE alikuwa muhusika Katika Riwaya ya "Roots" ya mwaka 1976 mtunzi wake akiwa ni Alex Haley, inasimulia simulizi ya familia ya kiamerika ,kulingana na Haley, Kunta Kinte alikuwa ni mmoja wa mababu zake wa kale, mtu wa nchini…
Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona?
Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David Kambona na Bibi Miriam Kambona.…
Fahamu Urafiki wa Nelson Mandela na Mwl. Nyerere
UKIZUNGUMZIA mashujaa wa Afrika ni lazima kutaja majina ya Kwame Nkrumah wa Ghana, Patrice Lumumba wa Kongo, Benjamin Nnamdi Azikiwe na Abubakar Tafawa Balewa wa Nigeria, na wengine wengi, orodha inaweza kuwa ndefu lakini si ndefu kiasi…
Jaribio la Hans Poppe Kutaka Kumpindua Nyerere 1982/1983
Hans Pope (senior) alikuwa regional police commander, Iringa, kabla ya kupelekwa Mkoa wa Ziwa Magharibi (West Lake Region) ambao sasa ni Kagera. Nakumbuka picha yake ilipochapishwa magazetini hapa nchini, 1972, baada ya kuuawa na askari…
Mtazamo wa Makamba Kuteuliwa Kuwa Waziri
MBUNGE wa Bumbuli kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), January Makamba ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati.
Enzi za uongozi ya Hayati Rais John Magufuli, Makamba alionekana “mtukutu”, Fasta Julai 2019,…
Yanga na Simba Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru
Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United.
Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea simba…
Mabadiliko Baraza la Mawaziri Yanatoa Taswira Ipi Katika Siasa ya Tanzania?
Miongoni mwa teuzi kubwa zilizokwisha fanyika. Ni uteuzi wa Mabalozi wapya Mei 23, 2021. Juni, 2021 kulifanyika uteuzi wa wakuu wa wilaya.
Shughuli imeendelea kwa kufanyika uteuzi uliobadilisha kidogo sura ya Baraza la…
Makame Mbarawa ni CR7 Aliyekuwa Benchi
Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Makame Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili.
…
Jitihada za BAKITA Zinavyowezesha Kubidhaisha Lugha ya Kiswahili
Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazotumiwa na watu wengi duniani. Chimbuko la lugha hii ni Tanzania na inakadiriwa kutumiwa na watu zaidi ya milioni 200.
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), ndicho chombo chenye…
Machinga wa Arusha Waambiwa vitambulisho Vilizikwa Chato
Machinga wa Arusha wameanza kuisoma namba baada ya kuambiwa kuwa hakuna tena vitambusho vya machinga hivyo wanatakiwa kulipa Tshs 500/= kila siku.
Wafanyabiashara hao hata walipoulizia kuwa mbona tuliambiwa tuwe na…
Gerson Msigwa; Chanjo ya UVIKO-19 Kupelekwa Vijijini – Video
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Septemba 12, 2021 akizungumza na Watanzania katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Utekelezaji wa Serikali katika Sekta Mbalimbali, Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha…
Tusanue, Ulichomokaje Maskani na Kuanza Kuishi Gheto?
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta…
Haya Mambo ya Kujiondolea Kizazi ni Kumjaribu Mungu
KATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye kitaaluma ni daktari wa binadamu ameamua kuondoa kizazi chake jambo ambalo…
Utaratibu wa Kuendesha Bunge Wabadilishwa – Video
BUNGE leo Agosti 31, 2021 limepunguza muda wa kukaa bungeni na sasa litakuwa likianza saa 8 mchana na kuisha saa 1:00 usiku ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Uviko – 19.
"Kwa kuzingatia azima tuliyonayo ya kujikinga na Uviko…