The House of Favourite Newspapers

Shilole Afanya Birthday Ya Nguvu

  shilole-birth-day-2016-3 Stori: Musa Mateja | Global TV

Msanii wa filamuna muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed Shilole, jana alifanya birthday ya nguvu katika Ukumbi wa Next Door, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akitimiza umri wa miaka 28, sherehe iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

shilole-birth-day-2016-2Shilole akifurahia birthday yake, nyuma yake ni Gigy money na baba Levo.

Mpango mzima ulianza majira ya saa tano usiku ambapo Shilole aliwasili ukumbini hapo na kukuta tayari wageni waalikwa wanamsubiri, wakiwemo mastaa kama Uwoya, Johari, Linex, Chegge, Bonge la Nyau, Dogo Janja, Bill Nass, Linnah na wengine kibao, Baba Levo akiwa ndiyo MC.

shilole-birth-day-2016-1Linah akijiselfisha huku burudani ikiendelea.

Sherehe ilizidi kupamba moto ambapo majira ya saa 6 kuelekea 7 za usiku, Shilole ambaye pia ni mjasiriamali, alifungua shampeni na kukata keki.

shilole-birth-day-2016-4Martin Kadinda akimlisha keki Shilole.

shilole-5

shilole-7

shilole-10

shilole-11

shilole-12

shilole-13

shilole-14

shilole-15

shilole-16

shilole-6

shilole-8

shilole-9

 

Sanchoka: ‘Nilimuokota’ Idris Sultan Kwenye Apartment Sauzi, Amfungukia Gigy Money

 

Comments are closed.