The House of Favourite Newspapers

Chegge: Sitamsahau Masogange

MKALI wa Ngoma ya Kaitaba, Said Juma ‘Chegge Chigunda’ amesema miongoni mwa vitu ambavyo hatakuja kuvisahau maishani mwake ni pamoja na msiba wa video vixen, Agnes Gerald ‘Masogange’ uliotokea Ijumaa iliopita. Chege…

Chegge amsapoti Sanjay Boy

Stori: MWANDISHI WETU MKALI kutoka TMK Family, Chegge Chigunda, amefunguka kuwa anaguswa na uwezo wa bwa mdogo anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Andrew John ‘Sanjay Boy’. Chegge alisema anasapoti harakati zake kwani anaamini kwamba Sanjay…

Feza Kessy, Chegge wapewa gwala

Feza Kessy Stori:  Boniphace Ngumije DAIREKTA anayetengeneza video za viwango vya juu Bongo, Hanscana amewapa gwala wasanii wa Bongo Fleva, Feza Kessy na Chegge Chigunda kwa kuunda ‘couple’ nzuri na kutengeneza Wimbo wa Sanuka ambao kwa…

Chegge acha kuwa muoga, usiyejiamini!

SAIDI Chigunda maarufu zaidi kama Chegge, pamoja na Amani Temba ‘Mh Temba’ ndiyo alama ya TMK Wanaume Family, lile kundi la vijana wa Temeke lililo chini ya usimamizi wa ‘Mkubwa’ Said Fella. Ni kijana mpambanaji kwelikweli, kwani hatua…

Malaika na penzi la Diamond, Chegge, rushwa ya ngono

Leo kwenye safu hii unakutana na mwanadada anayefanya poa kwenye ulimwengu wa muziki Bongo, Diana Exavery ‘Malaika’. Mdada huyu alibanwa na Mwandishi Wetu Mayasa Mariwata kwa maswali 10 na yeye bila hiyana akayajibu kama ifuatavyo; Ijumaa:…

Yanga Hii ya Kibabe Sana

YANGA ya msimu ujao itakuwa ni ya kibabe sana. Hivyo ndivyo wanavyotamba mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuishuhudia katika tamasha la Siku ya Mwananchi Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo…

MHE. TEMBA Kuirejesha TMK Wanaume

BAADA ya kila msanii kuonekana kufanya kazi kivyake, staa wa Bongo Fleva, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ amesema Kundi la TMK Wanaume litarudi na kuanza kazi ya muziki kama lilivyokuwa zamani. Kuthibitisha hilo, Temba alisema anatarajia…

Mastaa Hawa Wametoka Relini

KUTOKA relini ni moja kati ya misemo inayotumiwa sana na watoto wa ‘dijitali’ ikiwa na maana kuwa juu na ghafla kupotea. Kutoka relini huku inawezekana ulikuwa na pesa na baada ya kipindi ukawa huna kitu au unaweza kutamba kwa muda…

Diamond, Kiba Walivyotibuana!

KUFUATIA tukio la dharura la kifo cha aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald Waya ‘Masogange’ aliyeagwa jana kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusababisha Jiji la Dar kuzizima kwa vilio, waandishi wetu, Richard Bukos,…

Ngoma Hizi ni TBT ya Kibabe

THROUGH Back Thursday (TBT), ni ‘trend’ ambayo ipo kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Facebook na Twitter ambapo watu huposti ‘content’ za kitambo ambazo ni pamoja na picha au video, enzi za utotoni, katika makuzi yao ya ujana,…

Wanazeeka na Bongo Fleva Yao

HIVI karibuni kwenye Ukumbi wa Next Door, Msasani jijini Dar, nilimshuhudia msanii mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’ akifanya makamuzi ya hatari kiasi cha kujikusanyia kijiji chake katika onesho…

Wamekosea Timing…

UZIKI wa Bongo Fleva wa sasa umekuwa ni ajira na biashara kubwa tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ulikuwa ukichukuliwa kama muziki wa kihuni usio na faida. Kwa sasa zipo njia nyingi za kuingiza kipato ambazo wasanii wengi huzitumia…

Wanajisahau, Wanapotea Kimyakimya

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| IJUMAA SHOW BIZ YAPO makundi mengi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo yaliibuka na kupotea kimyakimya lakini pia wapo wakali wa muziki huo walioibuka na kujisahau na wengine kupotea kabisa.…

Shilole Afanya Birthday Ya Nguvu

  Stori: Musa Mateja | Global TV Msanii wa filamuna muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed Shilole, jana alifanya birthday ya nguvu katika Ukumbi wa Next Door, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akitimiza umri wa miaka 28,…