The House of Favourite Newspapers

LINEX AFUNGUKA KUPORWA MTOTO WAKE

MKALI wa Bongo Fleva, Sunday Sangu ‘Linex’ amefungukia kinachomuumiza kwa sasa ni kitendo cha kunyang’anywa mtoto na mzazi mwenziye. Akizungumza na Mikito Nusu Nusu, Linex alisema kuwa hajamuona mtoto wake huyo wa kiume takribani…

Linex: Kiki Zinaua Muziki

MSANII wa Bongo Fleva anayetikisa kwa sasa na wimbo wake Kiherehere, Sunday Mangu, ‘Linex’, amefunguka kupitia akaunti na kudai kuwa muziki mzuri unapotea ama unakufa kwa uwepo wa kiki (Skendo). Akipiga stori na mwandishi wa mtandao…

Linex Akaribia Kuitwa Baba…

Hellen Seriko mchumba wa Linex (Mjamzito) MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa na ngoma yake ya Kiherehere, Linex, amefunguka kuwa yupo mbioni kuitwa baba baada ya mpenzi wake, Hellen Seriko kubeba ujauzito ambapo…

Linex amfungukia video queen wake!

Erycah IMELDA MTEMA STAA wa Bongo Fleva anayetikisa na Ngoma ya Hewala, Sunday Mangu ‘Linex’ kwa mara ya kwanza amemfungukia aliyekuwa mpenzi na video queen wake, Ericka Daniel ‘Erycah’ kuwa amlaumu kwa kumuacha. Sunday Mangu ‘Linex’…

Baraka Da Prince ampoza Linex

Barakah Da Prince Nyemo Chilongani Mwanamuziki anayekuja kwa kasi kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Barakah Da Prince ameamua kumpoza mwanamuziki mwenzake, Sunday Mjeda ‘Linex’ baada ya stori kuenea mitandaoni kwamba alivunja amri ya sita na…

King Kiki: Linex, Bella wapo juu

Christian Bella Na Elvan Stambuli, Risasi Jumamosi Ngwiji wa Muziki wa Dansi nchini, Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kiki’ amesema wanamuziki wawili mahiri nchini, Linex na Christian Bella wapo juu kutokana na uwezo wao wa kuimba. Ngwiji wa…

Linex ‘ndoa’ yake yasengenywa

Mwanamuziki Linex. Juzikati zilivuja picha zikimuonesha Mwanamuziki Linex akiwa kama vile amefunga ndoa na bonge la msichana.Picha hizo ziliwafanya watu kuhisi aidha jamaa ana ngoma anaifanyia kichupa au amefunga ndoa kwa siri. Cha…

Linex kulamba shavu Sweden

Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’. DEOGRATIUS MONGELA MSANII wa Muziki wa RnB, Mtanzania mwenye maskani yake nchini Sweden, Khairat Carlo Omar, ’Dati’ amemshirikisha kwenye songi lake Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’…

JIDE YAMKUTA YA GIGY MONEY

DAR ES SALAAM: BAADA ya kutupia picha zake tata mtandaoni, mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ yamemkuta majanga yaliyowahi kumkuta msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ ya kuchongewa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata). Jide…

Supu ya Kichwa cha Samaki

LEO tutaongelea jinsi ya kupika supu ya kichwa cha samaki, inaweza kuwa aina yoyote ile ya samaki. Kuna wasiopenda kichwa lakini supu nzuri sasa niwaeleze inatoka kwenye kichwa. Basi nikwambie tu katika kichwa cha samaki kuna supu…

Shilole Afanya Birthday Ya Nguvu

  Stori: Musa Mateja | Global TV Msanii wa filamuna muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed Shilole, jana alifanya birthday ya nguvu katika Ukumbi wa Next Door, Masaki jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akitimiza umri wa miaka 28,…

Ma Modo 10 Waliosumbua 2016

Hamisa Mobeto Na Mwandishi Wetu|Gazeti la Ijumaa Kwenye ulimwengu wa burudani, wapo wadada wanaofahamika kwa jina la Video Queen. Kwa hapa Bongo wapo kibao lakini katika kufunga mwaka IJUMAA linakuletea mamodo 10 waliokuwa gumzo kwa…

Nape Azindua Filamu Ya Sikitu!

Waziri Nape Nnauye akiongea jambo kabla ya kuizindua filamu ya Sikitu, ndani ya ukumbi wa sinema uliopo ndani ya Jengo la Quality Center jijini Dar es Salaam. Muandaaji wa filamu hiyo, Kajala Masanja (wa pili kutoka kulia), akiingia…