The House of Favourite Newspapers

UWOYA amfanyia mbaya Johari

ZANZIBAR: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya amemfanyia kitu mbaya mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’.  Uwoya amemshtukiza Johari ambaye ni shoga’ke mkubwa na kummwagia ndoo za maji kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa…

Mastaa kumwangushia Johari pati…

WATU wajipange kukuandalia pati ya kukupongeza kwa kukaa mwezi mmoja bila kunywa pombe; maana yake nini, kama wewe si ‘chapombe’? Risasi Jumamosi linatafakari hivyo baada ya baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuibuka na kumpongeza msanii…

Johari Akerwa Kuitwa Mlevi

STAA mkongwe wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameeleza kukerwa na baadhi ya wasanii wenzake kumpa jina la mlevi na kudai wapo wengine wengi ambao wanalewa mpaka wanalala baa. Akichonga na Za Motomoto News, Johari…

Johari Adaiwa Kuonja Penzi la Petit

MREMBO mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuonja penzi la kijana wa mjini, Petit Man ambaye ni mume halali wa dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan. Chanzo makini kilipenyeza…

JOHARI, RAY WAFIKA PABAYA

DAR ES SALAAM: Mastaa wahenga Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamefika pabaya baada ya kudaiwa kuwa hawana mahusiano mazuri na kila mmoja anafanya kazi kivyake huku Johari akionekana…

Duma: Johari ananikuna sana

MSANII wa filamu Bongo Muvi, Daud Michael ‘Duma’, amesema kuwa anakunwa na muigizaji mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’ na yeye ndio alikuwa chachu ya kuingia kwenye uigizaji. Akizungumza na Over Ze Weekend hivi karibuni, Duma alisema…

JOHARI Ampa Somo Mobeto

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amempa somo mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto ambaye ni mzazi mwenza wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba, awe makini kwani mapenzi ya mastaa yanaumiza na…

Johari Adaiwa Mjamzito

MKONGWE wa tasnia ya sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, anadaiwa kuwa mjamzito wa miezi minne sasa ingawa mwenyewe amekuwa akificha. Kwa mujibu wa sosi wa karibu wa staa huyo, kwa sasa Johari ameongezeka umbo…

Johari Aikimbia Dar

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ameamua kulikimbia Jiji la Dar kwa muda ambapo kwa sasa atakuwa anafanyia kazi zake mikoani. Aki-zun-gumza na Over Ze Wee-kend, Johari alifun-guka kuwa, amejic-himbia mikoani…

Johari Adai Kuokoka Upya!

MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu, ikiwa ni pamoja na kuachana na maisha ya ajabu kama matumizi ya pombe. Johari aliliambia Ijumaa…

Johari: Ndiku Alitupa Raha

BLANDINA Chagula ‘Johari’ amemfungukia aliyekuwa mume wa muigizaji Irene Uwoya, marehemu Hamad Ndikumana kuwa enzi za uhai wake, aliwapa bata za kutosha. Akizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni, mkongwe huyo wa sinema…