The House of Favourite Newspapers

Wawa Amtishia Nyau Molinga

BEKI mkongwe wa kati wa Simba Muivory Coast, Pascal Serge Wawa ametamba kuwa usajili uliofanywa na watani wao Yanga haumpi hofu ya Ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwenda Jangwani. Kauli hiyo aliitoa ikiwa ni siku moja kabla ya…

Kanyau azidi kusota kortini

Daudi Yakubu Adam 'Kanyau'  (aliyevaa miwani) akiwa wakili wake, John Mallya. Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar aliyepandishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar wiki chache zilizopita kwa mashtaka ya kujipatia mali…

Wanaodaiwa Majambazi Sugu Wanaswa

JESHI la Polisi Mkoani Tanga limewakamata watu wanne wanaodaiwa kuwa ni Majambazi sugu waliokuwa wakitafutwa kwa muda mrefu katika wilaya ya Korogwe akiwemo kiongozi wa genge la uhalifu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tanga na nje…

Dar Live Wanafunga Mwaka Kibabe

KWA miaka zaidi ya saba sasa Ukumbi wa Dar Live umekuwa ukifanya makubwa kwenye sikukuu za kufungia mwaka na awamu hii pia hawataiacha Bongo Dar es Salaam salama, hiyo ni kwa kuwa wanatarajia kudondosha shoo ya nguvu katika kuuaga mwaka…

Lulu Diva Asimulia Alivyonusa Kifo!

Sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesimulia alivyonusa kifo laivu.Katika mahojiano maalum, Lulu Diva ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hadi sasa amekuwa akilikumbuka tukio la wiki iliyopita alipokutana uso kwa uso…

Mimba kuyeyuka kimaajabu kwatikisa

DUNIA ina maajabu mengi, ila mkoani Mbeya kinachotikisa kwa sasa ni mimba kwa baadhi ya akina mama kuyeyuka kimaajabu; UWAZI lina habari kamili.  Chanzo chetu kutoka eneo la tukio, kilimuita mwandishi wetu: “Njoo katika Kijiji cha…

Babu Njenje Afariki Dunia

Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inaeleza kuwa, mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama Wana-Njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama Babu Njenje amefariki dunia leo Mei 24, 2020 jijini Dar baada ya kuugua kwa muda…

MAMA: Sitaki Kuhusishwa na Wema

MZAZI anaposema hataki kuhusishwa na mambo ya mwanaye, Kibongobongo anakuwa anamaanisha nini; kwamba amemchoka au ametoa uhuru wa mtoto wake kujiamulia mwenyewe mambo yake?  Unajua kauli hii ya ‘sitaki kuhusishwa na mambo…