The House of Favourite Newspapers

Uwoya Apewa Range Mpyaaa

Supastaa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameonesha zawadi ya gari lake jipya aina ya Range Rover alilopewa. Hata hivyo, Uwoya hajaweka wazi amepewa na nani. Ameandika kwenye kurasa zake za kijamii; “'God I can’t thank you enough…you…

Uwoya afyatuka kuitwa jini

IRENE Pancras Uwoya au Mama Krish ni mwigizaji mkubwa wa Bongo Movies ambaye amefyatuka kwa ukali akisema kuwa, hakuna kitu asichokipenda kama jina jipya alilopewa na baadhi ya watu mitandaoni la Jini. Uwoya anasema kuwa,…

Uwoya: Simlei Mwanangu Krish Kimayai

IRENE Uwoya ni mmoja wa mastaa wakubwa wa Bongo Movies anayeaminika kuwa na mkwanja mrefu ambaye anasema kuwa, pamoja na kwamba ana pesa, lakini kamwe hamlei mtoto wake, Krish kimayaimayai hata siku moja, Uwoya anasema kuwa, hawezi…

Uwoya: Nina Miaka 33 tu

KAMA ilivyo kwa baadhi ya mastaa wengine wa kike Bongo kusababisha utata juu ya umri wao, mwigizaji Irene Uwoya naye amepita mulemule baada ya kutamka; “Nina umri wa miaka 33 tu…” Uwoya ameyasema hayo wikiendi iliyopita alipokuwa…

Uwoya Anawakera Ile Mbaya

IRENE Uwoya; wengine humuita Ophrah kwa sababu ya Filamu ya Ophrah aliyotisha mno ndani yake akiwa na mastaa wa Bongo Movies, marehemu Kanumba na Ray. Irene amekuwa akila bata kiasi cha kuwakera ile mbaya baadhi ya watu wasiopenda…

Mobeto Awazima Wema, Uwoya

MWANAMITINDO grade one Bongo, Hamisa Mobeto anazidi kuwa wa moto balaa na kuendelea kuacha maswali kama yote juu ya; nini kilichopo katikati, kati yake na rapa Rick Ross wa Marekani? Pili; Hamisa amewazima mastaa wenzake wa…

Bata la Uwoya Kigogo Kenya Atajwa

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya au Mama Krish anakuambia ni mwendo wa bata juu ya bata kwani baada ya kufanya kufuru za kufa mtu kule Dubai, sasa amehamishia bata visiwani Zanzibar, lakini jeuri hiyo inatajwa kutoka kwa…