The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Arsenal

Newcastle Wamtaka Aubameyang

Klabu ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika dirisha hili. Mshambuliaji huyo ambaye huenda asionekane tena uwanjani akiwa na jezi ya…

Man United Yaichakaza Arsenal

Mashetani Wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England katika Uwanja wa Old Trafford. Mabao ya Manchester United yamefungwa na Wareno, Bruno Fernandes dakika…

Arsenal Dimbani Leo na Rekodi Mbovu

WAKATI  ikishuka dimbani leo dhidi ya Norwich, Klabu ya Arsenal imeweka rekodi mbovu kwa mechi za mwanzo ndani ya Ligi Kuu England kwa kushindwa kukusanya pointi hata moja pamoja na bao. Arsenal imecheza mechi tatu za Ligi…

AUBAMEYANG Augua Malaria

Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ametibiwa hospitalini baada ya kuugua malaria wakati akiwa katika majukumu ya kimataifa na Gabon. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 alifunga BAO katika ushindi wao…

Arteta: Spurs Wapo Vizuri Zaidi Yetu

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekiri kuwa Tottenham inastahili kuwa juu kwenye msimamo wa Premier kutokana na kufanya vizuri, Leo Jumapili, Arsenal na Tottenham zitavaana kwenye Uwanja wa Tottenham katika mechi ya Premier. …

Arteta: Sina Hofu ya Kufukuzwa Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema hana hofu ya kufukuzwa licha ya kuwa timu yake imeendelea kuwa na matokeo mabaya, Wolves iliifunga Arsenal mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Emirates, juzi na hivyo kuongeza presha kubwa kwa Arteta kwa…

Aubameyang Sasa Anatia Huruma

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre- Emerick Aubameyang ameendelea kuwashtua wengi kutokana na kiwango ambacho amekuwa akikionyesha msimu huu. Staa huyo ambaye misimu miwili iliyopita alifanikiwa kuibuka mfungaji bora wa timu…

Man United Yachezea Kichapo Dhidi ya Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikael Arteta,  amevunja mwiko baada kushinda  dhidi ya Manchester United kwenye mechi ya ligi  ya Uingereza kwenye uwanja wa Old Trafford, tangu walipofanya hivyo mwaka 2006 ikiwa imepita miaka 14. …

Solskjaer Amuhofia Arteta

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kutokana na jinsi alivyoanza kwa mafanikio akiwa na timu hiyo leo Jumapili, Man United na Arsenal zitashuka…

Arsenal Kumtajirisha Zaidi Ozil

MESUT Ozil amesisitiza kuwa ataendelea kuitumikia timu hiyo hadi mkataba wake utakapomalizika hata kama hatakuwa akipata nafasi ya kucheza. Kwa kauli hiyo pekee inamaanisha kuwa hadi mkataba wake unamalizika atakuwa ameingiza pauni 31m…

Wenger Amshukia Salah Kisa Uchoyo

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli ya Wenger imekuja siku chache baada ya Sadio Mane kukorofishana na Salah baada ya kunyimwa pasi…

Arsenal Yanasa Bonge la Winga

ARSENAL inaaminika imefikia muafaka wa kumsajili winga hatari wa Lille ya Ufaransa, Nicolas Pepe. Klabu inadaiwa ilikubali jana kulipa ada ya uhamisho ya kiasi cha pauni milioni 72 (Sh. bilioni 205) kwa Lille ya Ufaransa. Habari zaidi…