The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

aunt ezekiel

Aunt Kujifungua Akirushwa Laivu

UKISTAAJABU ya Musa, utaona ya firauni! Ndivyo unavyoweza kutafsiri maajabu anayotarajia kuyafanya Staa wa filamu Bongo, Aunt Greyson Ezekiel baada ya kuweka wazi kuwa, amenuia kuongozana na mashabiki zake leba, pindi atakapokuwa…

Aunt Ezekiel: Shamsa Hajitambui

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema kuwa msanii mwenzake Shamsa Ford hajitambui ndio maana anaongea mambo ya familia za watu bila kupewa ruhusa, hivyo yeye binafsi ameamua kumuacha na ujinga wake. Akizungumza na…

Aunt Amuachia Mungu!

HAKUNA kitu kibaya kwenye maisha kama kupokonywa tonge mdomoni, wakati mwingine unaamua kufanya kama alivyofanya staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kwa kumuachia Mungu mtihani uliomkuta wa kufungiwa pub (baa) yake ya The Luxe iliyokuwa…

Aunt Amemmisi Moze Iyobo?

MWANAMAMA mkali kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewajibu wanaomhoji kama amemmisi Mose Iyobo, lakini bado hajammisi baba mtoto wake, Moze Iyobo. Aunt ameliambia Gazeti la Ijumaa kuwa kwa upande wake…

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amemtonesha kidonda shoga’ke, Wema Isaac Sepetu.  Aunt amewauliza watu waeleze changamoto za…

AUNT AKATA NGEBE ZA UWOYA

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kufuru kubwa na kumfunika staa mwenzake, Irene Uwoya baada ya kufungua pub yake kubwa ya kisasa iliyopo Mikocheni, jijini Dar, maeneo ya Kwa Ridhiwani ambayo anatarajia…

IYOBO, AUNT ‘FULL’ KURUSHANA ROHO

DANSA wa Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Moses Iyobo ‘Moze’ na mzazi mwenziye Aunt Ezekiel ambao sasa wamemwagana, hivi karibuni walionekana kurushana roho baada ya kukutana kwenye bethidei ya Tanasha Donna na mama Nasibu Abdul…

KUMBE AUNT NA IYOBO MAMBO POA TU!

Mwanamama wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amesema kuwa pamoja na kwamba hayupo tena kimapenzi na mzazi mwenzake, Mose Iyobo ‘Moze’ lakini ukweli ni kwamba wako poa tu na wanasalimiana kama kawa. Aunt aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa,…

AUNT MINYOOSHO KAMA YOTE !

BAADA ya kumwagana na aliyekuwa mzazi mwenzake, dansa Moses Iyobo, muigizaji Aunt Ezekiel amedaiwa kuachia mapichapicha mengi akiwa na mpenzi wake mpya kumnyoosha Iyobo.  Wambea wa Insta juzikati wametupia picha ya Aunt inayomuonesha…

 MAMA AMTOA CHOZI AUNT EZEKIEL

STAA wa filamu Aunt Ezekiel, amefunguka kuwa wiki yote amekuwa na majonzi makubwa kutokana na kumkumbuka sana marehemu mama yake kitu ambacho kilimfanya kujifungia ndani na kulia.  Akizungumza na Za Motomoto, Aunt alisema kuwa…

AUNT Acharuka Iyobo Kuitwa Dansa

MREMBO wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ameibuka na kuwacharukia wale wanaomchukulia baba watoto wake, Mozes Iyobo kama dansa wakati yeye anamuona kama mkurugenzi Aunt alisema amekuwa akifuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kuona watu…

Aunt Afuata Dawa ya Ubonge Thailand

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema alilazimika kusafiri hadi nchini Thailand kufuata dawa ya kupunguza unene baada ya kuona hali hiyo inamnyima raha kwani ingeweza kumfanya aonekane mzee. Akizungumza na Za Motomoto News,…

Aunt Afunguka Kujaladia Makalio

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI BAADA ya watu kumuandama mitandaoni kuwa anatumia ‘makalio ya dukani’ kuongeza muonekano mzuri wa mwili wake, muigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ameibuka na kusema aachwe kwani kama…