Chadema: Sio Kila Mradi Wa Serikali Unapaswa Kupingwa – Video
Viongozi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamepongeza utekelezaji wa mradi wa Treni ya mwendokasi SGR na wameeleza kuwa sio kila mradi wa serikali unapaswa kupingwa, bali kuungwa mkono kwani unaleta manufaa kwa…
