The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mbosso

Mbosso Avunja Ukimya Vita Yake na Aslay!

STAA wa muziki wa Bongo Fleva na memba wa lebo kubwa ya muziki Bongo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’, amevunja ukimya juu ya vita yake na msanii mwenzake, Aslay Isihaka. Katika mahojiano…

Mbosso Alamba Dili Nono

MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso, ametangazwa kuwa Balozi wa Kampuni ya Tanga Fresh inayojihusisha na utengenezaji wa maziwa, kwa mkataba wa mwaka mmoja.…

Gonjwa Linalomtesa Mbosso!

Staa mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso Khan’ amekiri kuteswa na gonjwa baya la kutetemeka. Mbosso amesema kuwa, ugonjwa huo umekuwa ukimsumbua tangu akiwa mtoto mdogo.…

Mbosso Akosa Mamilioni!

MWANAMUZIKI pendwa wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’ anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), ameeleza namna alivyokosa mamilioni kutokana na shoo zake kufutwa. Mbosso ameliambia Gazeti la IJUMAA…

Mbosso: Sioi Leo Wala Kesho!

KWENYE playlist yako ya wakali wa Bongo Fleva, huwezi kuacha jina la dogo anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’. Huyu ni Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso’ ambaye mbali…