Matokeo ya Darasa la Saba 2023 haya hapa, Ufaulu wa Wavulana na Wasichana Wafanana
Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa Novemba 23, 2023 na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), yameonesha ufaulu wa wavulana na wasichana umefanana ambapo wavulana wamefaulu kwa asilimia…
