Rais Samia Aagiza Watu Hawa Wachukuliwe Hatua – Video
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ameagiza miradi 49 iliyokutwa na kasoro wakati wa kukimbiza mwenge ichunguzwe na watu wote waliohusika wachukuliwe hatua mara moja.
Mhe. Samia ametoa…