Rais Samia Ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika, Iowa nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani Oktoba 30, 2024. Mjadala…