Kwenye mpira wa miguu ni ukweli mchungu kuwa Simba ni HASARA kwake! Tujiulize anatoa Pesa za usajili wa Wachezaji wa Kimataifa, wanaolipiwa nauli za kuja, malazi, usafiri, agent fee, vibali vya kazi...
Hii ndio sababu Betway ni kampuni kubwa zaidi Africa hadi Ulaya.Wakati unaendelea kufurahia odds na bonus kubwa kutoka Betway. Sasa una nafasi nyingine ya kushinda simu na mtonyo haijalishi mkeka wako umetiki au umechanika.
Jisajili na…
TUMEKUWA tukiona wasanii wa Tanzania wakisaini dili kubwa na kampuni mbalimbali ya kuwa mabalozi wa kampuni husika na kujiingizia kipato kikubwa kwenye mifuko yako, hii inatokea hata kwa wale wasanii ambao wanavuma na nyimbo mbili au…
Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
iOS https://apple.co/38HjiCx
Android http://bit.ly/38Lluc8
Nunua Gazeti la SpotiXtra
AU
NUNUA SpotiXtra
Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia Timu ya Taifa kwa kuipatia fedha ili kuongeza ufanisi wa timu hiyo ndani na nje ya nchi.
Dkt. Abbasi amesema hayo…
GWIJI wa zamani wa kandanda, Diego Maradona, amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 60 kwao Argentina ambapo mapema mwezi huu, Novemba, alifanyiwa upasuaji wa ubongo ambao madaktari walimwambia ulifanikiwa.
Baada ya…
PATRICK Aussems, kocha wa zamani wa Simba maarufu kama Uchebe, ameripotiwa kufutwa kazi na timu yake mpya ya Black Leopards ambayo alikuwa akiifundisha katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini.
Aussems aliibukia ndani ya…
Mwanasoka mbobezi wa uingereza atastaafu soka baada ya kucheza mechi yake ya mwisho ya kimashindano siku ya ijumaa akiwa na umri wa miaka 80. Peter Webster anaeishi Wollongong nchini Australia amesema ametambua kwa muda sasa…
KLABU ya Liverpool inaikaribia timu ya Manchester United kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi England baada ya kutwaa taji la Premier League hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Brand Finance Football Annual.
…
JARIBU kufikiria upo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 20 au zaidi, ndoa yenu ikiwa imebarikiwa kuwa na watoto watatu, ghafla unapata habari za uhakika na zenye uthibitisho rasmi kuwa kumbe hao watoto wote ambao unaona ni wa kwako, siyo…
Orlando Pirates ya Afrika Kusini ni kama wameichungulia Simba, kisha wakagundua kuwa timu hiyo ina fedha nyingi, hiyo ni kutokana kufahamu kuwa timu hiyo kwa sasa ipo chini ya bilionea namba moja kwa vijana barani Afrika, Mo Dewji,…
SHIRIKISHO la soka nchini Kenya (FKF) limesimamisha shughuli zote rasmi za soka nchini humu baada ya uthibitisho wa tukio la kwanza la kuepo mwathirika wa virusi vya Corona nchini humo.
FKF tayari limesimamisha mashindano…
Na Issa Liponda: Rais wa chama cha Soka la Wanawake Tanzania, Amina Karuma amesema kuwa umefika wakati wa wachezaji wa soka la Wanawake nchini kupata nafasi ya kucheza soka la kulipwa.
Karuma aliyasema hayo jana Ijumaa alipofanya…
TIMU ya soka ya viongozi wa serikali ya mkoa wa Mwanza wakiongozwa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Christopher Derek Kadio, imejikuta katika wakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa viongozi wa asasi za kidini…
KOCHA wa Global FC, Amran Kaima, amesisitiza kwamba walitumia uungwana kucheza na DSJ FC kuhofia vurugu za mashabiki waliokuwa wanawasubiri kwa hamu. Katika mchezo huo wa kirafiki, Global FC ilipoteza kwa mabao 3-1 kwenye uwanja wa…
Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo katika Jiji la Dodoma, unaotarajiwa kujengwa kwa msaada wa Mfalme wa Morocco, Mtukufu Mohammed VI.…
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', imelazimishwa sare ya bila kufungana kikiwa ugenini dhidi ya wenyeji wake Uganda, Mechi ya kuwania kufuzu Afcon iliyopigwa kwenye Uwanja wa Namboole jijini Kampala huku Stars ikiongozwa na…
MCHEZAJI wa Soka wa Brazil, Wergiton do Rosario Calmon (29) ambaye anajulikana kwa jina maarufu la Somália aliyekuwa akiichezea Klabu ya Toulouse ya Ufaransa kwa miaka mitatu, ametimka klabuni hapo na kujiunga na Klabu ya Al-Shabab…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2017/18.
Kitu cha kushangaza kwenye orodha hiyo jina la Neymar na Pogba ambao mwaka jana…
ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya nchi hiyo kung'olewa katika Kombe la Dunia wakati wa kutafuta 60 bora katika michuano inayoendelea nchini Russia.…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF inayoelezea kuwa Klabu ya Mtibwa Sugar imemaliza adhabu yake ya kufungiwa lakini ikitakiwa kuthibitisha kwa maandishi…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanika majina ya wachezaji wanao wania tuzo za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) msimu wa mwaka 2017/18 ambazo zitatolewa Juni 23, 2018 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
TFF imesema…
KLABU ya Real Madrid wakiwa nyumbani wameinyuka timu ya Girona kwa mabao 6-3 katika mechi ya Ligi Kuu Hispania 'La Liga Santanda' jana Jumapili, Machi 18, 2018 katika uwanja wa Santiago Bernabeu.
Katika mechi hiyo…
KUFUATIA nyota wa PSG ya Ufaransa, Neymar Jr kuumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa kati ya timu yake dhidi ya Marseille, jana usiku, kipa wa PSG, Alphonse Areola amesema anawasiwasi na kuumia kwa mshambuliaji…
MASHABIKI wa Klabu ya Mangolo hivi karibuni walikinukisha na kuvamia uwanjani wakati wa mechi yao dhidi ya Chasimba FC maeneo ya Boko jijini Dar, wakidai mwamuzi wa mchezo huo amewanyima peanati.
Kutoka mtaani, Global TV Ripota amenasa…
Mohamed Salah amempiku mchezaji mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane na mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kutwaa Tuzo ya Mchezaji wa Afrika wa Mwaka 2017.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Misri aliibuka mshindi…
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amefuta mashindano yoyote ya soka yaliyo nje ya mfumo wa shirikisho hilo isipokuwa tu kwa kibali maalum.
Karia ameyasema hayo leo katika Mkutano wake na Wahariri wa vyombo…
Timu ya Tanzania Bara kwa mchezo wa Beach Soka imefungwa mabao 7-6 na Malawi katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar as Salaam.
Katika mchezo huo wa mashindano ya…
NDOTO ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji iliota mabawa jana Jumapili baada kufungwa na wenyeji Kenya kwa njia ya penalti na kujikuta wakiangua kilio cha huzuni uwanjani hapo baada ya kushinwa…
UONGOZI wa Timu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge Sports Club umetamba kuwa umejiandaa vyema kunyakua Ubingwa wa Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki (Inter Parliamentary Games) yatakayoanza kutimua vumbi Disemba…
TAMASHA lijulikanalo kama Global Colleges Bash linaloendelea sasa nchini limelenga kuwaunganisha wasomi katika vyuo kwa lengo la kuhamasishana katika masomo na michezo.
Tamasha hilo ambalo limeanza kadiri ya mwezi mmoja…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro ametoa agizo kuwa mchakato ufanyike wa kuzivunja timu zote za jeshi la polisi zinazoshiriki ligi za soka za madaraja tofauti ili iundwe timu moja.
Kamanda Sirro amesema kuwa hatua…
Zanzibar imefutiwa uanachama wake katika Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ikiwa ni miezi minne tu imepita tangu walipokubaliwa na kuwa mjumbe wa shirikisho hilo.
Rais wa CAF, Ahmad Ahmad amesema kwa, Zanzibar ambayo ni sehemu ya…
NIMEKUWEKEA HAPA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA
Arsenal wameambiwa lazima walipe pauni milioni 57 ili kumsajili Alexandre Lacazette, 26, kutoka Lyon (London Evening Standard).
Kinda wa Arsenal Kaylen Hinds anajiandaa…
Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetolewa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17, baada ya kufungwa 1-0 na Niger katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Uwanja wa Port Gentil mjini Gentil,…
STORI: Ibrahim Mressy | CHAMPIONI| Dar es Salaam
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya umri wa Miaka 17, Serengeti Boys, leo Jumatatu inafungua pazia lake katika mashindano ya Kombe la Afrika kwa Vijana, kwa kumenyana na Mali katika…
Antonio Conte akipeperushwa.
Goalkeeper Thibaut Courtois akifurahia ushindi.
Chelsea wakicheza ugenini wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kupata ushindi wa 0-1 dhidi ya West Brom.
Michy Batshuayi akitupia…