Simba Yapoteza Kariakoo Dabi Nyumbani, Maxi Nzengeli Awazamisha
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imepoteza mchezo wa Kariakoo Dabi Uwanja wa Mkapa kwa kushuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Yanga.
Bao pekee la ushindi kwa Yanga limefungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 86 akitumia makosa ya…
