Zahera: Asikuambie Mtu, Msimu Huu ni Mayele Tu
MKURUGENZI wa Soka la Vijana wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema straika wa timu hiyo, Fiston Mayele, ana kila sababu ya kuwa mfungaji bora msimu huu, labda tu azembee mwenyewe.
Zahera alisema suala la kuwa mfungaji bora kwake lipo kwa…
