The House of Favourite Newspapers

VEE MONEY Achekelea Views YouTube

MWANADADA ambaye kwa sasa anafanya vyema na album iitwayo Money Mondays, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, hivi karibuni amechekelea views katika mtandao wa YouTube ambazo wimbo wake namba 9, kwenye album yake uitwao Wet, umepata. Wimbo huo…

KIBA, JOTI WAMKOSHA RAIS MAGUFULI!

Wakati baadhi ya wale wasiojituma wakidai ‘vyuma vimekaza’, wasanii; Lucas Muhavile ‘Joti’ na Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ wameonekana kumfurahisha Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kwani wameendana na dhana ya kujituma kwa jasho…

Wakali Hawa ‘Wamebuma’ 2017

MWAKA unazidi kuyoyoma, kwenye upande wa burudani hasa Tasnia ya Muziki, mbali na wanamuziki wenyewe kutathimini nini wamefanya kwa mwaka huu, wadau wa tasnia hiyo hatuwezi kuonekana tumetenda kosa la jinai kupitia nini ambacho…

Nahreel Na Aika Kimeelewekaaa!

NAVY Kenzo kruu ya watoto wa kishua katika Afrika Mashariki, inaundwa Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale. Mbali na kufanya Bongo Fleva katika level za juu, pia wanamiliki lebo ya The Industry iliyowahi kuwasainisha…

Uwoya Achoshwa na Dogo Janja

MKALI kunako soko la filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema kuwa amechoshwa kuuliza maswali juu ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’. Akipiga stori Over Ze Weekend, Uwoya…

Wolper aonyesha mahaba kwa Fid Q

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo ni kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi na nyimbo bora anazotoa. Akichonga na Uwazi Showbiz, Wolper…