The House of Favourite Newspapers

Dayna Nyange Wivu Umeniponza

MWANAMAMA anayefanya poa kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva; Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa kinachomfanya aachane na wapenzi wake mara kwa mara ni wivu uliokisiri. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili…

Dayna Nyange amuonea wivu Roma

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’. Stori: Boniphace Ngumije MWANADADA anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ hivi karibuni amedai kuwa anamuona wivu staa wa Hip…

Dayna Nyange awachana mashabiki

Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ Boniphace Ngumije Staa wa Ngoma ya Angejua, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewatolea uvivu watu wanaofuatilia maisha yake katika mitandao ya kijamii kuwa hakuna anayemsaidia kuyaendesha. Akichonga na…

DAYNA AJUTA SAFARI ZA ULAYA

 HITMAKER wa Ngoma ya Salama, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa, anajuta kusafiri Ulaya kwani kumemfanya kurudi upya kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva. Akizungumza na Star Showbiz, Dayna alisema, alipata nafasi…

Dayna Abadilishwa na Tuzo

Na Boniphace Ngumije| UWAZI | SHOWBIZ MWANADADA kiwango kwenye Tasnia ya Muziki Bongo, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa kubeba tuzo mbili za Bae kutoka nchini Nigeria katika kipengele cha Mwanamuziki Bora wa…

Dayna: Simchukii Baba Watoto Wangu

Na BONIPHACE NGUMIJE| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES NYOTA wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema licha ya mambo mengi kutokea katika uhusiano wake na mwanaume aliyezaa naye mtoto wa kike, hawezi kumchukia hata…

Dayna: Nimehenya kutoa video

  MWANADADA anayefanya vizuri kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva kwa sasa na video yake mpya iitwayo Komela aliyomshirikisha Bill Nas, Dayna Nyange amefunguka namna alivyohenya mpaka kuikamilisha. Akichonga na Gazeti la Amani, Dayna…

Dayna akana kutoka na Billnas

Stori: Uwazi Showbiz STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amemfungukia staa wa Hip Hop Bongo, Billnas kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi unaoendelea kati yao zaidi ya kazi ya kimuziki. Akichonga na Uwazi…

Nay, Dayna Aibu Yao!

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa katika pozi la nusu utupu na msanii wa Bongo Fleva, Aisha Nyange ‘Dayna’. NA BONIPHACE NGUMIJE, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Hii ni aibu yao! Picha zinazomuonesha staa wa Hip Hop anayetamba na…

‘Kirusi’ Hatari Kinawamaliza!

KATIKA historia ya muziki nchini, tuliona wanaume ndiyo waliamka na kuitengeneza tasnia hii katika nyanja mbalimbali.Wanamuziki wakali wa kiume waliibuka enzi hizo na kuikuza sanaa ya burudani kwa kutoa kazi kali katika uwanda wa Bongo…

Lava Lava Amkataa Uwoya

“ANA shepu bufalo, mwendo kama hakanyagi chini (hakanyagi chini), njonjo kangaroo, kafungasha double kibini (double kibini), ana guu la bia tende, kifuani dodo embe, kipotabo Dayna Nyange, akitembea ndembe ndembe, yani kama mzembe,…