The House of Favourite Newspapers

Mimba ya Aunt Hatarini!

KITENDO cha staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kunaswa ‘club’ ya starehe ya usiku akigida pombe za hatari ilihali ni mjamzito wa kujifungua muda wowote, kimeibua gumzo kubwa juu ya hatari ya kuchoropoka kwa mimba hiyo. …

Afya ya Harmo, Hofu Yatanda

Hofu inazidi kutanda juu ya afya ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ambayo inaelezwa kuwa, yupo hatarini kukumbwa na magonjwa ya hatari, yanayoongoza kwa vifo vya binadamu duniani. TUJIUNGE HAVOC, MASAKI…

Tishio Ugonjwa Uliyomuua Seth Bosco

  ‘NI TISHIO’ ndivyo unavyoweza kuutafsiri ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ambao wiki iliyopita uliongezea pigo lingine katika familia ya Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ baada ya Seth Bosco kufariki Desemba 7, mwaka huu. Seth…

Daktari Afunguka Mimba ya Tanasha

MWANDANI wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, anatarajiwa kujifungua muda wowote kuanza sasa. Lakini akiwa kwenye hali hiyo, Tanasha ameeleza hali inayompata sasa hivi ya kwenda haja…

Daktari Achambua Ugonjwa wa Mbowe

BAADA ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa saa 24, madaktari waliozungumza na gazeti hili juzi (Jumatano) wamechambua hali za kiafya alizozielezea kiongozi huyo kuwa zilichangia kuugua kwake.…

WAJAWAZITO WAPATATISHIO JIPYA!

UPEPO wa maisha ya Maria na Consolata Mwakikuti, pacha walioungana ambao walifariki dunia hivi karibuni na kuzikwa mkoani Iringa baada ya kuishi kwa miaka 21 duniani bado unavuma kwa kasi huku ukionekana kuwaacha wajawazito kwenye…

Kutokwa na Uchafu Ukeni ‘Leukorrhea’

Na Dk CHALE| GAZETI LA IJUMAA| AFYA HII  siyo  hali ya kawaida mwanamke kutokwa na majimaji au uchafu ukeni au sehemu za siri.Tatizo hili hutamkwa ‘Lukorea’ na huwapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa ingawa hata wasichana…