The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Irene Uwoya!

LEO Desemba 18, 2020 ni siku muhimu sana kwa staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hivyo, Global Digital tunakutakia heri ya kuzaliwa. Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa…

Irene Uwoya Afungwa Mdomo

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema, maneno ya kuudhi anayokutana nayo mitandaoni yamemfunga mdomo. Uwoya ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, watu wa kwenye mitandao, hata kama hutaki kuzungumza nao,…

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza kwamba hakuolewa kwa dini ya Kiislamu na aliyekuwa mume wake, Dogo Janja (AbdulAzizi Chende) ambao wawili hao kwa…