The House of Favourite Newspapers

Fid Q Kajivika Mabomu kwa Joh Makini

 JOHN JOSEPH| CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi kutamba, lakini katika dunia ya sasa kuna vigezo vya ziada vimekuwa vikitumika…

Joh Makini Amtamani Fid Q

Joh Makini Rapa anayekimbiza gemu la Muziki wa HipHop Bongo, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’ amesema ipo siku atamshirikisha Fid Q katika ngoma yake maana ni msanii mzuri ambaye anatamani kufanya naye kazi. Fid Q Akistorisha na…

Wizi ulinikosanisha na Joh Makini

Boniphace Ngumije DE Fatality International ni ‘label’ ya muziki maarufu Bongo iliyo chini ya jamaa anayefahamika kwa jina la  Jerry Boniphace ‘Mensen Selekta. Nimegonga naye stori mbili tatu kuhusu game na hiki ndicho alichofunguka;…

 Joh Makini atoboa siri ya kolabo yake na Davido

Staa wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ Staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ STAA wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ ametoboa siri ya kolabo yake na…

Johari Adaiwa Kuonja Penzi la Petit

MREMBO mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuonja penzi la kijana wa mjini, Petit Man ambaye ni mume halali wa dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan. Chanzo makini kilipenyeza…

JOHARI Ampa Somo Mobeto

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amempa somo mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto ambaye ni mzazi mwenza wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba, awe makini kwani mapenzi ya mastaa yanaumiza na…

Johari, Chuchu Kimenuka Tena!

Na Mwandishi Wetu | RISASI JUMAMOSI  | DAR ES SALAAM Warembo wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wamedaiwa kuwa wametibuana vibaya kufuatia Chuchu kumchokonoa Johari mitandaoni kuhusu jina la Kampuni ya RJ,…