The House of Favourite Newspapers

Omog Aomba Wiki Mbili Mtibwa

BAADA ya kuanza vibaya Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar raia wa Cameroon, Joseph Omog ameomba apatiwe muda wa wiki mbili ili kukinoa upya kikosi hicho na kuweka mambo sawa ili wafanye vizuri. Mtibwa Sugar tayari…

Omog Akwama Mtibwa Sugar

LICHA ya kutambulishwa rasmi kukinoa kikosi cha Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2021/22, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog ameshindwa kuiongoza timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Bara baada ya vibali vyake vya kazi kutokuwa sawa. Mtibwa…

Omog asaini miaka miwili Mtibwa

UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar umempa mkataba wa miaka miwili kocha Joseph Omong kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho katika msimu mpya wa 2021/22. Omog, mwenye uraia wa Cameroon, ametua kikosini hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba ya…

Omog Atajwa Mtibwa Sugar

BAADA ya aliyetarajiwa kuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry kutimkia Simba, inatajwa kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog. Omog aliwahi kuzinoa timu…

Omog Kasepa na Mabegi Saba

WAKATI Simba wakiota ndoto ya mwisho pale Mtwara usiku wa kuamkia leo Ijumaa, huku Dar es Salaam bosi wao aliyepigwa chini, Joseph Omog alikuwa akipakia mabegi yake saba kwenye mwewe tayari kwa safari ya kurudi kwao Cameroon. Wala…

OMOG AGOMA KUONDOKA

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon, Joseph Omog, amegoma kuondoka jijini Dar es Salaam akisubiria malipo yake kutoka kwa mabosi wake wa zamani. Awali, kulikuwepo na taarifa za kocha huyo kuondoka jana lakini imeshindikana mara…

Omog Apewa Siku 10 Mapumziko

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umempa kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog siku zaidi ya siku kumi za mapumziko kabla ya kurejea kikosini kuendelea kuwanoa wachezaji wa timu hiyo wanaoendelea na mazoezi ya kujiandaa na michezo ijayo ya Ligi…

Omog Ampa Mkataba Mpya Juuko

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, raia wa Cameroon, ameuelekeza uongozi wa timu hiyo umpe mkataba mpya wa kumbakisha klabuni hapo, beki wake kitasa, Juuko Murshid, raia wa Uganda, ikiwa ni muda mfupi baada ya wapinzani wao, Yanga, …

Omog Akalia Kuti Kavu Simba SC

SARE wanazoendelea kuzipata Simba huenda zikamuondoa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog. Timu hiyo, ilipata sare yake ya mwisho juzi ilipovaana na Yanga katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mechi hiyo, Simba…

Omog Ndiyo Basi Tena Kwa Nyoni

BEKI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni, amefanikiwa kumteka akili kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog baada ya kufanikiwa kuandika rekodi ya pekee ndani ya kikosi hicho. Nyoni ambaye amejiunga na Simba msimu huu akitokea…

Omog Awazuga Yanga Kwa Okwi

KOCHA wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog hakuweza kumtumia mshambuliaji wake raia wa Uganda, Emmanuel Okwi katika michezo ya kirafiki visiwani Zanzibar kwa madai ya kuwa ni majeruhi lakini amesisitiza kuwa lazima atacheza katika mchezo wa…

Omog: Huyu Okwi ni Mashine

KIKOSI cha Simba kilirejea nchini juzi Jumamosi, kikitokea Afrika Kusini kilipokuwa kimepiga kambi kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara 2017/18, pia Kombe la Shirikisho Afrika. Hata hivyo, Kocha Mkuu wa Simba ambaye ni…