HAPA BAYERN MUNICH DHIDI YA REAL MADRID KULE BORUSSIA DORTMUND DHIDI YA PSG USIKU WA ULAYA NGOMA…
Ngoma inagile ndio kauli ambayo ambayo unaweza kuitumia kuelezea wiki hii ya usiku wa ulaya ambayo itakwenda kupigwa michezo miwili ya hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya.
Miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani…