The House of Favourite Newspapers

Aubameyanga Atimkia Barcelona

MUDA wowote kuanzia sasa, mshambualiaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang atajiunga na Barcelona kwa mkopo kabla ya dirisha la usajili halijafungwa usiku wa leo. Video mbalimbali zimemuonyesha…

Mtanzania Kutua Barcelona

NYOTA mwenye asili ya Tanzania, Akram Afif ametajwa kuwa kwenye orodha ya wachezaji ambao kocha wa Barcelona, Xavier Hernandez amepanga kuwasajili mwishoni mwa msimu wakati wa kiangazi kwa ajili ya kukijenga upya kikosi chake. …

Xavi Amtaka Pogba Barcelona

KOCHA wa Barcelona Xavi amefunga mlango wa kutaka kumnunua nyota wa Manchester United Paul Pogba kwa sababu Mfaransa huyo hafanani na wasifu wa klabu hiyo. Mkataba wa Pogba unamalizika mwishoni mwa msimu huu na amekuwa akihusishwa na…

Messi Akubali Kubaki Barcelona

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi, amekubali kubaki Barcelona huku akikubali pia kupunguza mshahara. Messi sasa anajiandaa kusaini mkataba wa miaka mitano na timu hiyo ambayo ameitumikia kwa kipindi chake chote cha soka.…

Messi Barcelona Hadi 2026

STAA wa soka wa kiwango cha Dunia wa Argentina, Lionel Messi amekubali kusalia Barcelona katika mkataba ambao utamuweka kwenye klabu hiyo hadi 2026, Messi amekubali kupunguza nusu ya mshahara wake kwenye mkataba huo mpya. Messi…

Neymar Awakimbia Barcelona

MSHAMBULIAJI bora wa PSG Neymar Santos Junior, huenda akakosekana katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya timu yake ya zamani Barcelona, unaotarajiwa kufanyika jumanne ijayo ya tarehe 16/02/2021. Neymar aliumia…

Barcelona Yamvuruga Tena Messi

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na ttmu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha la uhamisho lililopita liliathiri sana mchezo wake msimu huu. …

Messi Achoshwa na Lawama Barcelona

NYOTA  wa timu wa kimataifa wa Argentina,  Lionel Messi, amevunja ukimya na kueleza bayana kuwa amechoshwa na zigo la lawama analotupiwa ndani ya  klabu ya Barcelona yenye maskani yake Catalunya nchini Hispania. Messi…

Rais Barcelona Abwaga Manyanga

KLABU  ya Barcelona imetangaza rasmi aliyekuwa Rais wao, Josep Maria Bartomeu, amejiuzulu nafasi hiyo pamoja na bodi yote ya wakurugenzi. Bartomeu, 57, amekuwa Rais wa Barcelona tangu mwaka 2014, lakini homa  ya…