TGNP Yawanoa Kinamama Waliotwaa Udiwani
MTANDAO wa Jinsia wa TGNP leo Alhamisi umeanza warsha ya kuwanoa kiungozi kinamama kutoka mikoa mbalimbali waliotwaa udiwani na nyadhifa nyinginezo katika uchaguzi mkuu uliopita.
Warsha hiyo iliyofunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji…