The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Mayasa Mariwata

Mayasa Mariwata LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini…

Maya: Mume Wangu ni Sapraiz

MAYAMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa, watu wenye kiu ya kutaka kumjua mume wake mtarajiwa watulie watamuona tu na itakuwa sapraiz kwao. Akizungumza na Amani, Maya ambaye tayari vikao vya…

Mastaa kumwangushia Johari pati…

WATU wajipange kukuandalia pati ya kukupongeza kwa kukaa mwezi mmoja bila kunywa pombe; maana yake nini, kama wewe si ‘chapombe’? Risasi Jumamosi linatafakari hivyo baada ya baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuibuka na kumpongeza msanii…

WAHENGA’ BADO HAWAJAITWA MAMA

KWA sasa mastaa wengi wa Bongo Muvi, wamejaaliwa kupata watoto na kila mmoja anajivunia mtoto wake lakini kuna wengine bado hawajabahatika kupata watoto mpaka leo licha ya kuwa umri wao unawaruhusu.   Kila mmoja ana sababu…

Mfu Aliyerudiwa na Uhai-12

 ILIPOISHIA WIKIENDA Shangazi aliporudi tena chumbani na kuniona nilivyokuwa akaniambia: “Nimeshampigia mama yako, amesema atafika muda si mrefu lakini kutokana na hali yako ilivyo, hatutamsubiri. Naita teksi twende hospitali.”…

Maya Afunguka Kumchamba JB

STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe, Jacob Steven ‘JB’ kuwa watu wamemuelewa vibaya. Juzikati, Maya aliweka…

MINU AMBADILISHA MAVAZI SNURA!

Snura Mushi MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu. Mtoa ubuyu mmoja amenyetisha kuwa, Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi…

PAM D AHUZUNISHWA NA MKE WA ROMA

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kufungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutofanya sanaa miezi sita kutokana na wimbo wake wa Kibamia kukosa maadili, msanii…

MENEJA WA UWOYA ATIWA MBARONI!

MSANII wa fi lamu Bongo, Irene Uwoya ameingia matatizoni baada ya meneja wake wa bar iliyopo Sinza, Mariam Ismail ‘Mamakubwa’ kuwekwa mahabusu polisi kwa sababu ya kukiuka sheria ya vileo kwa kuuza vinywaji nje ya muda…

MO MUSIC ATOSWA NA DEMU KISA…

MSANII anayetamba na Wimbo wa Bajaj, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amejikuta kwenye msongo wa mawazo baada ya mwanamke aliyekuwa mbioni kumuoa aitwaye Iptisam kuolewa na mtu mwingine, kutokana na mvutano wa dini baina yao. Kwa…

BABY SHOWER YA MTOTO WA GIGY YABUMA

MWANADADA machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye anatarajia kujifungua mwezi ujao, amejikuta akishindwa kufanya shughuli ya maandalizi ya mapokezi ya mwanaye wa kike atakayemzaa ‘baby shower’ kutokana na mambo ya…

PAM D AGEUKIA SINGELI

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli na kuahidi kuliteka soko hilo, kwa kuwa anaamini muziki huo bado haujapata mwanamke anayeumudu. Akipiga stori na Risasi Vibes, Pam D alisema yupo…

Kadja Amtibua Tena Nama Yake

MREMBO wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ ambaye aliingia kwenye bifu zito na mama yake baada ya kubadili dini na kuwa Mkristo na kumsamehe kipindi alipokuwa mahututi akijifungua, amemtibua tena mzazi wake huyo kutokana na…

Pretty Kind Aufyata Kwa Waziri

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kindy’ ambaye siku chache zilizopita alipewa kibano cha kufungiwa asifanye sanaa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, amesema kuwa jambo hilo…

Sajent, Dulla Wadaiwa Kumwagana

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ ambaye alikuwa kwenye mapenzi motomoto na msanii wa singeli Dulla Makabila, uhusiano wao unadaiwa kuvunjika kutokana na kutofautiana kwenye baadhi ya mambo. Kwa mujibu wa chanzo…