The House of Favourite Newspapers

Muhimbili Kuanzisha Benki ya Maziwa

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, inatarajia kuanzisha benki ya maziwa ya binadamu. Akizungumza leo Ijumaa Machi 18, wakati wa ziara ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika hospitali hiyo, Naibu Kaimu Mkurugenzi wa hospitali…

Mzee Lowassa Alazwa Muhimbili

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa familia hiyo zinasema kuwa kiongozi huyo amelazwa katika hospitali hiyo kwa karibu wiki nzima…

Gwajima Aipongeza Hospitali ya Muhimbili

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, ameipongeza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kuwa na huduma za ubingwa wa hali ya juu ambao haupatikani katika nchi nyingi za Afrika. Ametoa pongezi…