The House of Favourite Newspapers

NUH MZIWANDA APOTEZWA NA LAANA

MWANAMUZIKI Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye mbali na kazi nzuri anazofanya aliingia kwenye masikio, macho na midomo ya watu baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanadada Zuwena Mohamed…

Nuh Mziwanda Amzawadia Mkewe Wimbo

MAYASA MARIWATA | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu| DAR ES SALAAM BAADA ya mkewe, Nawal kujifungua mtoto wa kike, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ameamua kumzawadia wimbo ikiwa ni njia ya kumshukuru kwa kuwa…

Nuh Mziwanda Akesha Akiomba Mapacha

Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA JUMAA| STAR MIX MSANII wa muziki Bongo, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa anakesha kila siku akimuomba Mungu amjaalie mke wake Nawal ambaye sasa ana mimba ya takriban miezi minne ajifungue watoto…

Nuh Mziwanda amwangukia Shilole

STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. Musa Mateja, AMANI STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anasemekana amemwangukia kwa mara nyingine aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa…

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi hasidi wa moyo wangu… Haya mapenzi basi nimeyavulia shati… Kupendwa ni…

NUH Afungukia Kubebwa na Shilole

MWANAMUZIKI Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye aliwahi kufanya vizuri sana kupitia wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha mkali Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ameeleza sababu ya kupotea kwenye muziki kwa takriban miaka miwili. …

Pretty Kind Amtaka Nuh Atulie

MSANII wa filamu za Kibongo ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amemtaka mwanaume huyo atulie na aache kutapatapa na wanawake wa mjini. Akizungumza na Za…

Nuh: Mume wa Shilole Hajiamini

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, amemfungukia mume wa Shilole aliyemuoa hivi karibuni, Ashraf Uchebe kuwa hajiamini kutokana na tabia yake ya kujistukia kwa kila posti…