The House of Favourite Newspapers

Sitta Achaguliwa Meya Kinondoni

DIWANI wa Kata ya Msasani katika Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amechaguliwa kuwa Meya mpya wa manispaa hiyo katika uchaguzi wa vuta nikuvute, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Manispaa hiyo, Magomeni jijini Dar es Salaam jana. Uchaguzi…

Samuel Sitta Umejibu Swali Langu!

Na Brighton Masalu KITENDO cha aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kutangaza nia ya kuwania tena kiti cha uspika katika bunge lijalo la 11, kimejibu swali langu la muda mrefu ambalo nimekuwa nikijiuliza kila wakati. Swali kubwa…