The House of Favourite Newspapers

NI MWAKA WA FURAHA KWA WASTARA

KILA mara watu wamezoea kumuona staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, akidondosha machozi kutokana na changamoto mbalimbali anazopitia, lakini mwaka huu 2009, ameyakataa na kusema kuwa ni mwaka wake wa furaha na mafanikio.  Wastara…

WASTARA NATAMANI KUJIUAAN!

BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru na kumuomba Mungu azidi kutulinda na shari! Hivyo ndivyo anavyoweza…

Wastara Akata Tamaa

MWANAMAMA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ametinga jijini Dodoma kuongea na Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ambaye ameahidi kumsaidia kufuatilia mkataba wake na Wachina anaodai pesa taslimu shilingi milioni…

WASTARA HALI TETE TENA !

LICHA ya Februari, mwaka huu kupatiwa matibabu nchini India, bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ni tete kwani yu hoi kitandani akisumbuliwa na kichwa pamoja na mgongo. Akizungumza na Za Motomoto News,…

Wastara Alamba Shavu Sweden

Wastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi Bongo na kupata nafuu amelamba shavu la kwenda nchini Sweden kuwakilisha wanawake walemavu wa Kiafrika.…

AFYA YA WASTARA MUNGU MKUBWA!

MUNGU mkubwa! Afya ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeanza kutengamaa na hivi karibuni anatarajiwa kurejea Bongo. Akizungumza na Za Motomoto…