Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa tarehe 28, Oktoba, 2020 ambayo itakuwa...
READ MOREAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro...
READ MOREFredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, Julai 21, 2020 ameibuka mshindi wa kura za maoni...
READ MOREAliyekuwa Mbunge wa Jimbo Sengerema katika Bunge lililopita, William Ngeleja ameshika nafasi ya pili akiwa na kura 120 katika kura...
READ MORERobert Maboto ameibuka kidedea kwa kupata kura 140 huku Mzee Stephen Wassira akiwa nafasi ya pili kwa kura 115. Namba...
READ MOREHamis Taletale maarufu kama Babu Tale ameongoza katika kura za maoni kwa kupata kura 318 Nafasi ya pili katika kura...
READ MORENaibu wa Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameibuka kidedea kwa kupata kura 291. Alikuwa Mbunge wa Ukonga Bunge lililopita James...
READ MOREMAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Katubuka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Jeremia Kilahunja (49), kifungo cha maisha jela kwa...
READ MOREMTIA nia wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kawe, ambaye pia ni msanii na mtangazaji...
READ MOREALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dkt. Vincent Mashinji, ameshindwa kura za maoni za Chama Cha...
READ MOREAliyewahi kuwa waziri wa Viwanda nchini na Mbunge wa Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Dkt. Charles Mwijage (CCM) ameibuka kidedea katika...
READ MOREZARINAH Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ni mwanamama mrembo. Ni mfanyabiashara mwenye makazi yake pale Durban, Afrika Kusini. Zari ni...
READ MORE#BreakingNews: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kama ifuatavyo: Uteuzi wa...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashukuru wale wote waliompa pole nyingi baada ya matokeo ya...
READ MOREWAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, ameibuka kidedea baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni wakati wa Mkutano Mkuu wa...
READ MORETakwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha...
READ MOREKampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya maboresho yake katika tovuti yao ya kubashiri, imeamua kuwapa...
READ MOREProf Joyce Ndalichako ameshinda katika kura za maoni ndani ya CCM kuwania Ubunge wa Kasulu Mjini kwa kupata kura 405,...
READ MOREAbbas Mtemvu ameongoza kwa kura 203 katika Jimbo la Temeke akifuatiwa na Doris Kilave kura 182 huku watatu akipata kura...
READ MOREWATIA nia wawili katika Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo na aliyekuwa mbunge wa Jimbo...
READ MORENaibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega Mjini kwa kura 367...
READ MORERAIS John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameagiza wasimamizi wa uchaguzi ndani ya chama hicho...
READ MORERAIS John Magufuli, amesema kuwa Tanzania imebaki kuwa nchi salama kwa kuwa ilifanikiwa kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa Covid19 baada...
READ MOREBaadhi ya wagombe ubunge katika jimbo la Buchosa wakijinadi kwa wajumbe katika mchakato wa kuwapata wagombea ubunge...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa...
READ MOREJIMBO la Buchosa ni moja ya majimbo nchini yanayopiga kura za maoni za kuwapata wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali...
READ MORERais Dkt. John Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe...
READ MOREMGOMBEA nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi amepata mapokezi...
READ MOREBenki ya NMB, imekabidhi misaada ya mabati 180, madawati 200, mashine sita za kunawia mikono, viti na meza 100, kwa...
READ MOREMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye sifa, kwa kuangalia utendaji kazi...
READ MOREShirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linapenda kukanusha taaarifa kuwa Mtangazaji Enock Bigwane amepata ajali na kuwa anapatiwa matibabu. Kumekuwepo na...
READ MORERais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi wake wa Julai 17, 2020 na amemteua Mhandisi Marwa Mwita...
READ MORESTAA wa Yanga, Bernard Morrison, ameweka wazi kuwa, kama Simba watamfuata na kukubaliana nao kimaslahi basi hakuna shida atasaini tu...
READ MOREKWENYE uwanda wa burudani Bongo hii, kumekuwa na wimbi la wasanii wengi na wanaofanya vizuri. Miaka ya nyuma waliibuka...
READ MORELICHA ya ongezeko la visa vya ugonjwa wa COVID-19 nchini Marekani, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani...
READ MOREMBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...
READ MORERais Magufuli leo Julai 18, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...
READ MORE