Browsing Category
Kimataifa
Jamaa Aliyeonekana Akikumbatiana na Mwanamke Kwenye Tamasha Ajiuzulu
Kampuni ya teknolojia ya Marekani, Astronomer, imetangaza kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji Mkuu wake, Andy Byron, kufuatia kusambaa kwa video inayomuonesha akimkumbatia mchepuko katika tamasha la Coldplay.
Tukio hilo lilinaswa kwenye…
Uganda: Jenerali Muhoozi Aibua Mjadala Baada Ya Kutangaza Nia Ya Kurithi Urais Kutoka Kwa Baba Yake
Jenerali Muhoonzi Kainerugaba ambaye ni mtoto wa Rais Museveni ameibua gunzo nchini Uganda baada ya kutangaza nia yake ya kuwa Rais baada ya baba yake.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya baba…
Wapinzani 15 wa Museveni Wakamatwa kwa Madai ya Kuchana Mabango Yake
Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, jambo lililochukuliwa kama ni kinyume na sheria.
Ilielezwa kuwa tukio hilo lilitokea…
Trump Athibitisha Makombora Ya Patriot Yamekwisha Tumwa Ukraine
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa makombora ya kisasa ya kujihami ya Patriot tayari yamepelekwa nchini Ukraine chini ya mpango mpya wa utoaji unaohusisha ushirikiano kati ya Marekani, NATO na Umoja wa Ulaya.…
Trump Atoa Onyo Kali Kwa Putin: Asema Amezidiwa na Vita ya Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump, jana alitoa kauli kali dhidi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akimtaja kama "mtu mkali sana," huku akisisitiza kuwa hataki kumuita muuaji, lakini amechoshwa na ukaidi wa Putin wa kukataa kumaliza vita…
Rais Paul Biya wa Cameroon, Mwenye Umri wa Miaka 92 Atawania Tena 2026
Rais Paul Biya wa Cameroon, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza rasmi kuwa atawania tena urais kwa mara ya nane katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Tangazo hilo limekuja kupitia ukurasa wake wa X, akisema kuwa bado ana dhamira ya…
Putin ataja kinachosababisha akosane na Nchi za Magharibi
Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema malengo ya kiukiritimba ya mataifa ya Magharibi na kutupilia mbali kwao wasiwasi wa kiusalama wa nchi yake ndivyo vilivyosababisha mzozo unaoendelea hivi sasa kati ya Moscow na Magharibi.
Putin…
Ajali Ya Ndege London Kadhaa Wahofiwa Kufariki
Katika tukio la kushtua lililotokea leo jijini London, ndege aina ya Beech B200 Super King Air imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Southend.
Tukio hilo limenaswa kwenye video inayosambaa kwa kasi mitandaoni,…
Muuguzi wa India asubiri kunyongwa Julai 16
Na mwandishi wetu, Elvan Stambuli
Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani wa kibiashara, Talal Abdo Mahdi - ambaye mwili wake uliokatwakatwa uligunduliwa kwenye tanki la…
Ancelotti Ahukumiwa Mwaka 1 Gerezani Na Faini Ya Billioni 1
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na kutozwa faini ya €386,000 (zaidi ya TSh 1.1 bilioni) na Mahakama ya Mkoa wa Madrid kwa kosa la kukwepa kodi mwaka 2014 alipokuwa katika…
Israel Yadaiwa Kujaribu Kumlipua Rais Mpya wa Iran
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ametoa madai mazito kwamba Israel ilijaribu kumuua wakati wa mvutano mkubwa wa kijeshi kati ya mataifa hayo mwezi uliopita. Akizungumza katika mahojiano ya dakika 28 yaliyofanyika na mtangazaji wa…
Waziri Ajiua Kwa Risasi Kisa Kufutwa Kazi Na Putin
Vladimirovich Starovoit, aliyekuwa Waziri wa Usafirishaji wa Urusi kati ya mwaka 2024 na 2025, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kujiua kwa kujipiga risasi, muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kumfuta kazi.…
Israel Yarusha Ndege 20 Kuvamia Ngome za Yemen
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya ngome za waasi wa Houthi nchini Yemen usiku wa kuamkia Jumatatu, saa chache baada ya kutoa agizo la dharura la kuhama kwa raia katika maeneo matatu muhimu…
Mazungumzo Ya Kusitisha Vita Gaza Yagonga Mwamba
Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya kusitisha mapigano kati ya Wapalestina na utawala wa Israel, yaliyofanyika nchini Qatar, yamemalizika bila mafanikio yoyote, kwa mujibu wa vyanzo viwili vya Palestina…
Iran Yatoa Mwito wa Kusitishwa Mapigano Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, ametoa mwito wa kusitishwa haraka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kuruhusiwa misaada ya kibinadamu kuwafikia wananchi wa Ukanda huo.
Sayyid Abbas Araghchi amesema hayo akiwa katika…
Idadi ya waliofariki dunia Nigeria yafikia 200
Wakazi wa eneo la Mokwa wameeleza kwa BBC jinsi mafuriko yalivyokumba mji wao kwa ghafla na kusababisha uharibifu mkubwa.
Idadi rasmi ya vifo kutokana na mafuriko mabaya yaliyotokea Alhamisi katika mji wa Mokwa, uliopo katika Jimbo la…
Mashabiki Wa PSG Waunga Mkono Palestina Katika Mechi Ya Fainali Ya Klabu Bingwa Ulaya
Mashabiki wa PSG waunga mkono Palestina katika mechi ya fainali ya klabu bingwa Ulaya
Mashabiki wa timu ya soka ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa Palestina.
Katika mechi ya jana ya fainali…
Fiston Mayele Aandika Historia: Aipa Pyramids FC Taji La Kwanza La Ligi ya Mabingwa Afrika
Cairo, Misri – Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka DR Congo, Fiston Kalala Mayele, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni miongoni mwa wakali barani Afrika baada ya kufunga bao muhimu katika ushindi wa Pyramids FC wa mabao 2-1 dhidi ya…
Meneja Wa Manchester United, Ruben Amorim Atangaza Vita Kuelekea Msimu Ujao
Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema kuwa yeye na wachezaji wake wanatazamia kumaliza msimu huu wa 2024/25 uliojaa changamoto. Klabu hiyo imeishia katika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Premier League, ikiwa ni nafasi yao…
Putin Ataka Ukraine Iwe Chini Ya UN
Rais Vladimir Putin amependekeza kuwa Ukraine inapaswa kuwekwa chini ya udhibiti wa Umoja wa Mataifa (UN) kwa muda ili kuchagua kile alichokiita serikali yenye uwezo zaidi.
Ni jaribio la hivi punde la rais wa Urusi kupinga uhalali wa…
Finland Ya Kwanza Kuwa Na Watu Wenye Furaha Zaidi Duniani
Finland imeorodheshwa ya kwanza kama nchi yenye watu wenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Kulingana na ripoti ya Furaha ya Dunia iliyochapishwa leo Alhamisi Machi 20, 2025 siku ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya…
Wanajeshi Wa Ukraine Hawaamini Kwama Vita Vitaisha
Wakati Moscow ikizingatia usitishwaji wa vita kwa muda, vikosi vyake vya kijeshi vinaendelea kupambana katika mstari wa mbele.
Majadiliano ya kidiplomasia yanaweza kuwa magumu na yenye mwendo wa polepole, lakini katika uwanja wa…
Safari 1,054 Za Futwa Kisa Mgomo Ujerumani
Mgomo mkubwa wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Ujerumani umeendelea, ukisababisha kufutwa kwa maelfu ya safari za ndege za ndani na kimataifa. Viwanja 13, vikiwemo vikubwa vya Munich na Frankfurt, vimeathirika baada ya mgomo wa…
Israel Yasitisha Usambazaji Wa Umeme Ukanda Wa Gaza
Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza katika juhudi za kushinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano.
Makubaliano hayo yalifikia ukomo mwishoni mwa wiki…
Polisi Waimarisha Ulinzi Hukumu Ya Yoon Ikitarajiwa Kusomwa
Polisi wamemwagwa kwa wingi mitaani ambapo vituo vya treni za chini ya ardhi pamoja na angalau shule moja vitafungwa kutokana na wasiwasi wa usalama wakati Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini itakapotoa uamuzi wa kumwondoa au kumrudisha…
Aliyetaka Kujitoa Mhanga Ikulu Apigwa Risasi
Mtu mwenye silaha amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na maafisa wa Secret Service nje ya Ikulu ya White House, Marekani, tukio lililotokea leo Machi 9, 2025.
Inaelezwa kuwa wakati wa tukio hilo, Rais wa Marekani, Donald Trump, hakuwepo…
Kiongozi Mpya Wa Canada, Amkosoa Trump Kuhusu Ushuru
Mark Carney amechaguliwa kuwa kiongozi mpya wa chama tawala nchini Canada, Liberal Party, baada ya kuwashinda wapinzani wake watatu. Ushindi wake unaashiria kuwa atakuwa Waziri Mkuu mpya wa Canada, akimrithi Justin Trudeau katika siku…
Serikali Ya DRC Yatangaza Zawadi Ya Shilingi Bilioni 13 Kwa Kukamatwa Kwa Viongozi Wa M23
Hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inaendelea kuwa mbaya, huku serikali ikitangaza zawadi ya dola milioni 5 (Shilingi Bilioni 13) kwa yeyote atakayesaidia kuwakamata viongozi watatu wa kundi la waasi la M23.…
Trump kuwatimua chuoni wanaounga mkono Wapalestina
Rais Donald Trump wa Marekani, ametishia kusitisha ufadhili wa serikali ya shirikisho kwa vyuo vikuu au taasisi zozote za elimu zinazoruhusu maandamano kufanyika kuwaunga mkono Wapalestina.
Trump alitoa onyo hilo kupitia jukwaa lake…
‘Wapambe’ Wa Riek Machar Wakamatwa Sudan Kusini
Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar; huku wanajeshi wakiendele kuizingira nyumba yake katika mji mkuu, Juba.
Naibu Mkuu wa Jeshi,…
Watu 14 Wajeruhiwa Maandamano Ya Msumbiji
Watu 14, wakiwemo watoto wawili, wamejeruhiwa nchini Msumbiji baada ya polisi kutumia risasi za moto na gesi ya kutoa machozi kutawanya mkusanyiko wa wafuasi wa upinzani waliokuwa wakimsindikiza kiongozi Venancio Mondlane jijini Maputo.…
Ajali Ya Treni Yasababisha Maandamano Makuba
Maandamano makubwa yanaendelea nchini Ugiriki huku serikali ikikabiliwa na shinikizo la kura ya kutokuwa na imani kufuatia ajali mbaya ya treni ya mwaka 2023.
Ikiwa ni kumbukizi ya miaka miwili tangu kutokea kwa ajali hiyo,…
Korea Kaskazini Yalaani Uchokozi Wa Kijeshi Wa Marekani
Mar 04, 2025 07:43 UTC, Korea Kaskazini yalaani uchokozi wa kijeshi wa Marekani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imelaani vikali uchokozi wa kisiasa na kijeshi wa Marekani baada ya meli ya kubeba ndege za kivita ya Jeshi…
Trump Asitisha Misaada Ya Kijeshi Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia kuvunjika kwa mkutano kati yake na Rais Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, jijini Washington.
Hatua hiyo inakuja kufuatia msimamo wa…
Viongozi Wa Ulaya Waunga Mkono Mpango Wa Amani Ukraine
Viongozi wa Ulaya wametangaza kuunga mkono Ukraine katika mkutano wa kilele uliofanyika London, wakiahidi kuongeza matumizi katika usalama na kuunda muungano wa kulinda makubaliano yoyote ya amani nchini humo.
Mkutano huo…
Ujerumani Yatoa Onyo Dhidi Ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka shinikizo dhidi ya Marekani, iwapo nchi hiyo itashindwa kukumbatia demokrasia ya kiliberali.
Waziri Annalena ameyasema hayo kufuatia…
Kabila: Uongozi Mbaya Wa Rais Tshisekedi Umezidisha Mzozo
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo.
Kabila amesema hayo katika makala…
Papa Francis Hali Tete, Akutwa Na Tatizo La Figo
Shirika la Habari la AP, usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, Februari 24, limeripoti kuwa Papa Francis yupo mahututi huku vipimo vya damu vikionyesha dalili za awali za ugonjwa wa figo kushindwa kufanya kazi.
Hata hivyo, bado yuko macho…
Scholz Hatarini Kuangushwa Ukansela Ujerumani
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amekalia kuti kavu katika uchaguzi unaoendelea ambapo matokeo ya awali yanaonesha kuwa mpinzani wake, Friedrich Merz kutoka Chama cha Christian Democratic Union (CDU), anaongoza kwenye kura za awali.…
Polisi Wadaiwa Kujiunga Na M23 Bukavu
Mamia ya askari wa Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanadaiwa kujiunga na waasi wa M23 katika Mji wa Bukavu baada ya kuuteka mji huo.
Waasi wa M23 waliingia Bukavu wiki iliyopita na kufanikiwa kuuteka mji huo…