The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

maajabu

Moto wa Ajabu Wailaza Nje Familia

Familia mmoja Manispaa ya Musoma Mkoani Mara imelazimika kulala nje kutokana na nyumba waliyokuwa wanaishi kuwaka moto wa ajabu ambao unaunguza Nguo,Magodoro na baadhi ya thamani za ndani huku ikiacha jengo la nyumba hiuo bila madhara…

NJEMBA AIBUKA SIKU YA MSIBA WAKE

SHINYANGA: Luhaga Madango (28) ambaye ni mkazi wa Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, amejikuta akiwekewa msiba nyumbani kwao huku akiwa hai mara baada ya kufananishwa na marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Utumbo, ambaye…

MKE AGAWA MTOTO KWA BABA WAWILI!

  DAR ES SALAAM: Wanaume kaeni chonjo! Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Neema Lusaka, anadaiwa kugawa mtoto kwa wanaume wawili, hali iliyozua tafrani baina yao, Risasi…

Babu wa Darasa la Kwanza Ashangaza Wengi

MARA: KIKONGWE Nyamohanga Suguta (75) wa Kitongoji cha Kibeyo, Kijiji cha Getenga Kata ya Mbogi wilayani Tarime mkoani hapa, ameshangaza watu wanaomzunguka katika kufuatia uamuzi wake wa kuanza darasa la kwanza mwaka huu katika Shule ya…