Ten Hag hali mbaya Man United, Wachezaji Wafunguka Mazito Wamtaja De Gea
WACHEZAJI wakongwe wa Manchester United, wameonekana kuwa na hasira na kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag jinsi alivyomuondoa David de Gea.
De Gea alikuwa kipa wa Manchester United kwa miaka 12 akiwa moja kati ya makipa bora.
Msimu…
