The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

MASTAA WA BONGO

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha kila kinachoendelea katika maisha yake na kumtaka mengine ajionee sapraizi. Wasanii hao…

Harmonize Alizwa Mamilioni YouTube

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni bosi wa lebo kubwa ya muziki nchini Tanzania ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amelizwa na kitendo cha upotevu wa mamilioni tangu kuondolewa (terminated) kwa akaunti ya YouTube ya…

Dayna Nyange Wivu Umeniponza

MWANAMAMA anayefanya poa kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva; Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa kinachomfanya aachane na wapenzi wake mara kwa mara ni wivu uliokisiri. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili…

Odama Afunguka Kuzushiwa Kifo

MWANAMAMAmwenye adabu zake katika kiwanda cha Bongo Movies, Jenipher Kyaka ‘Odama’, amefunguka kuwa haikumuumiza kuzushiwa kifo, kwani kila mtu ana chuki zake. Odama amesema kuwa haikumuathiri sana japo alijaribu…

Kiba, Meneja Wake Kimenuka!

Kimenuka? Upepo unadaiwa si mzuri kati ya mfalme wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na meneja wake, Esi Mgimba, Gazeti la IJUMAA limekukusanyia habari kamili. TAARIFA ZA AWALI Awali, zilianza kusambaa taarifa…

Mondi Anunua Mtaa Mzima

Usiseme ‘hatuna pesa, sema sina pesa!’ Anachokifanya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ kwenye nyakati hizi kinadhihirisha kauli hiyo kwani staa huyo anaonesha jeuri ya pesa si ya nchi hii, Gazeti la…

Nai Akiri Kuachana Na Moni

VIDEO vixen Bongo, Nai amekiri kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moni Centrozone huku akiwataka watu waendelee kuongea, lakini hawezi kumrudia ng’o.Akibonga na Amani, Nai alisema kuwa kuachana…

Sarah Ajirudi Kwa Harmo!

Moshi mweupe! Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, Sarah Michelotti amefufua matumani ya wawili hao kurudiana kufuatia kitendo chake cha kujirudi na kumtumia mwenzi wake huyo ujumbe mtamu wa kimahaba. Sarah…

Corona Yamnyoosha Faiza

STAA wa Filamu ya Baby Mama, Faiza Ally ambaye ni mfanyabiashara anayefuata mizigo nje ya nchi, ameelezea namna janga la Virusi vya Corona lilivyomnyoosha. Faiza ameiambia Bongo Selebriti ya Gazeti la IJUMAA kuwa, kwa sasa…