Kauli ya Mo Dewji Baada ya Simba Kupigwa na Yanga – Video
GAME wa Watani wa Jadi, Yanga Sc vs Simba Sc (Dar Darby) umepigwa jana katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa kwa mkwaju wa adhabu na Bernard Morrison dakika ya 44.
…