Lori la Magogo Lafunga Barabara Morogoro, Wasafiri Wasota kwenye Foleni Masaa Saba
ADHA ya usafiri imetokea kwa wasafiri wanaofanya safari zao kati ya Morogoro-Dar es Salaam baada ya Lori lililobeba magogo kushindwa kupanda mlima na hatimaye kufunga barabara katika eneo la Mikese Morogoro na kusababisha foleni kubwa.…
