Rais Samia Akiweka Jiwe La Msingi Katika Mradi Wa Maji Mtyangimbole Ruvuma – (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 24 Septemba, 2024.