Shamsa Ford: Sasa Nipo Tayari Kuolewa Tena, Namtaka Mume Bora
				STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema kwa sasa yupo tayari kuolewa kwa mara nyingine baada ya ndoa yake ya awali kuvunjika.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliweka picha yake na kusindikiza na ujumbe huo…			
				 
			