Naibu Waziri Masauni Naye Ahojiwa na TAKUKURU
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jijini Dodoma kuhojiwa.
Amewasili katika ofisi hizo leo Jumamosi Februari 1, 2020…
