The House of Favourite Newspapers

Pacome Kuendelea Kukaa Nje Tena

Kiungo wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua, ataendelea kukosekana katika mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Pacome anaendelea kukosekana baada ya kutokuwa fiti kuanza kucheza kutokana…

Ajali: Escudo Yaiparamia Bajaji

Gari aina ya suzuki Escudo imegongana Bajaji katika eneo la CCM kata ya Ilomba Jijini Mbeya majira ya saa mbili asubuhi Aprili, 27/ 2024. Kwa mujibu wa shuhuda wanasema dereva wa Escudo alikuwa anaingia barabara kuu gari limemshinda…