The House of Favourite Newspapers

Dkt. Kigwangalla Asema Atashitaki

Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kubainisha matumizi mabaya ya fedha za umma ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyokuwa inaongozwa na Dk Hamisi Kigwangalla, ameibuka kwenye…

MTOTO WA KIGWANGALLA AZIKWA NZEGA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan aliongoza shughuli za mazishi ya Zulqarinain mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla yaliyofanyika jana Ijumaa Februari 22, 2019 majira…