The House of Favourite Newspapers

Sababu za Kifo cha Faru John Zatajwa

DAR ES SALAAM: Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza kifo cha faru maarufu aliyejulikana kwa jina la Faru dume imekabidhi ripoti yake leo kwa kiongozi huyo wa serikali na kutaja sababu za kifo chake. Waziri…

Macho, Masikio kwa Polepole

Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey Polepole limegonga vichwa vya watu wengi. Pamoja na kwamba Askofu Josephat Gwajima na Jerry Slaa nao…

CCM Yamhoji Naibu Waziri Waitara

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amezungumzia taarifa za na kuhojiwa na kamati ya maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili.…

Mambo 5 Kutikisa Uchaguzi 2020

DAR: Mbio za Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2020 zimezidi kushika kasi na kuwaacha wanasiasa matumbo joto kutokana na uchaguzi huo kuwa na mtikisiko wa kipekee. Gazeti la IJUMAA linachambua. Mtikisiko huo unatokana na mgombea…

Funzo Uswahiba wa Mkapa, JPM

“WATASEMA ninamjengea Mkapa, ndiyo ninamjengea kwa sababu bila Mkapa mimi nisingekuwa waziri, inawezekana pia Urais msingeniona, sasa kumjengea barabara tu hata siku akienda kwao apite kwenye lami ni kosa? Najua Mkapa amenitoa wapi,” hii ni…

FAGIO KALI CCM

HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna baadhi ya makada wa chama hicho wanamhujumu mwenyekiti wao ambaye ni Rais Dkt. John Magufuli kuelekea uchaguzi mkuu…

Rais Akana Kumng’oa Gambo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. RAIS John Magufuli amemhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuwa taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amemuengua ukuu wa mkoa wa Arusha, sio za kweli, kwani ni uzushi unaopaswa…