Malinzi, Mwesigwa Wahukumiwa Jela, Warejea Uraiani
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Leo Jumatano Desemba 11, 2019 imemtia hatiani aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kwa shtaka moja la kutengeneza nyaraka za uongo huku aliyekuwa katibu wa shirikisho hilo,…