The House of Favourite Newspapers

Sabaya: Amaliza Kujitetea

MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, Lengai Ole Sabaya (35) amemaliza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha kwa kudai kuwa ushahidi dhidi yake ni wa kisiasa. Mbele ya Hakimu Patricia Kisinda, Sabaya…

Sabaya Augua Gerezani

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba 3, 2021 imeahirishwa hadi kesho kwa kuwa Sabaya ni mgonjwa. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha…

Sabaya Kukata Rufaa – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watatu wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake wamehukumiwa kifungo cha miaka 30…