The House of Favourite Newspapers

Alaba Asaini Miaka Mitano Real Madrid

BEKI wa Bayern Munich, David Alaba amefikia makubaliano ya kujiunga na miamba ya soka barani ulaya, Real Madrid ifikapo wakati wa majira ya kiangazi msimu huu. Beki huyo kitasa atasaini mkataba wa miaka mitano na Los…

Rais Real MadridAkutwa na Corona

RAIS wa miamba ya soka,  Real Madrid, ya nchini Hispania, Fiorentino Perez,  jana mchana   Februari 2, 2021,  amekutwa na maambukizi ya Covid-19 na kuchukua tahadhari ya kujiweka karantini ili maambukizi hayo yasienee kwa watu wengine…

Sane anaiwahi Real Madrid

MANCHESTER, England | KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Leroy Sane, anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachopambana na Real Madrid mechi ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Mjerumani huyo…