Bassirou Faye Ashinda Uchaguzi wa Rais Senegal wiki moja Baada ya Kutoka Gerezani
Mgombea wa Urais kutoka kambi ya upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye ameshinda uchaguzi wa rais nchini humo ikiwa ni wiki moja baada ya kutoka gerezani.
Bassirou Diomaye Faye amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Senegal akiwa na…