The House of Favourite Newspapers

Wameacha Majina Yao ya Asili

LIMEKUWA ni jambo la kawaida kwa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, lakini pia wa filamu na tasnia mbalimbali kubadili majina yao ya asili kwa lengo la kuimarisha chapa zao ili kuvutia mashabiki ambao ndiyo wanunuzi wa kazi zao.…

Mastaa Waliokuwa Gizani 2019!

KUACHIA ngoma kali na kukubalika ni jambo moja, lakini kibarua kigumu zaidi ambacho wasanii wanakuwa nacho ni kuhakikisha wanakuwa juu kila mwaka. Kwenye Bongo Fleva kuna baadhi ya wasanii ambao miaka kama miwili au mmoja…